Kuelekea Maazimisho ya Siku ya Mwanaume wa Kitanzania 23 April 2026

Bado siku 47 kufikia kilele cha Maadhimisho ya Siku ya mwanaume wa kitanzania.

1. Kujua zaidi kuhusu mchango wa mwanaume wa kitanzania tembelea 👉🏿https://youtu.be/NVa6Zd8PkS8?si=KsWEfMWO5BVerUQx (au bofya hapa)

2. Kupata taarifa zaidi kuhusu tukio letu tembelea 👉🏿 https://www.agentz.org/index.php/conferences/ (au bofya hapa)

3. Kushiriki katika kuandaa Agenda ya Mwanaume wa Kitanzania 2026. Tafadhali jaza dodoso la kielekroniki hapa 👉🏿https://forms.gle/AgusMn9Z7JwFSXax8 (au bofya hapa)

4. Ukitaka kujua zaidi Kwa Nini tunamwazimisha mwanaume wa kitanzania, tafadhali tembelea link ifuatayo 👉🏿https://www.agentz.org/index.php/the-tanzanian-man/ (au bofya hapa)

4. Mada ya tarehe 6/3/2026, ijumaa, ni kuhusu Maadili ya mwanaume wa kitanzania. Tutasambaza link yenye video punde

5. Mada ijayo tarehe 13/03/2026 ni Mchango wa Mwanaume wa Kitanzania katika ujenzi wa utamaduni wa kitanzania

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *