Tangazo Tangazo

Tanatarajia kuwa na washiriki zaidi ya 500 (mia Tano) kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania Bara na visiwani. Tafadhali tunza nafasi yako kwa kujiunga kwenye group la watakao hudhuria siku ya mwanaume wa kitanzania sasa hivi, bila kupoteza muda.

Gharama ya ushiriki ni bure kabisa kwa washiriki wa kawaida. Endapo una Mada tafadhali jaza kiunganishi hapo chini. Karibuni sana

Jiunge sasa 👉🏿https://chat.whatsapp.com/B5bv3xzUd8DGHTR0oGGBhe?mode=gi_t (bofya hapa)

Kupata Taarifa mbalimbali zaidi kuhusu tukio bofya kiunganishi kifuatacho 👉🏿 https://www.agentz.org/ (bofya hapa)

Kama unahitaji muda maalumu wa kuzungumza au kutoa Mada, tafadhali bofya kiunganishi kifuatacho https://forms.gle/XABpBZyKtBggfbta6 (bofya hapa)

*Kupata Taarifa mbalimbali kuhusu siku ya mwanaume wa kitanzania na ushiriki, tafadhali bofya viunganishi hapo chini”

  1. Kujua kuhusu Mchango wa mwanaume wa kitanzania 👉🏿https://youtu.be/NVa6Zd8PkS8?si=KsWEfMWO5BVerUQx (au bofya hapa)
  2. Habari kuhusu Maadhimisho 👉🏿 https://www.agentz.org/index.php/conferences/ (au bofya hapa)
  3. Kushiriki katika kuandaa Agenda ya Mwanaume wa Kitanzania 2026 👉🏿https://forms.gle/AgusMn9Z7JwFSXax8 (au bofya hapa)
  4. Kwa nini tunamwazimisha mwanaume wa kitanzani👉🏿https://www.agentz.org/index.php/the-tanzanian-man/ (au bofya hapa)
  5. Changamoto za wanaume zitokanazo na utandawazi na kupuuzia Mila na desturi za kitanzania 👉🏿https://youtu.be/vbMd4Tw4RsY?si=7EvRqAqEynbu1_Q0 (au bofya hapa)

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *